MASWALI KUHUSU DINI KATOLIKI
*JE IMANI AU MAPOKEO YA KANISA KATOLIKI YANAPATIKANA
KATIKA BIBLIA?*
Wakatoliki wengi huyumbishwa kwa kuambiwa huamini
mambo ambayo hayako au ni kinyume na Biblia. Aya zifuatazo zitakusaidia wewe
mkatoliki kuelewa au kujua mistari ya Biblia inayofafanua imani katoliki.
1) KUOMBEA MAREHEMU:
2 Mak.
12:38-46
Hek. 3:1
Tob 4:17
2) MATUMIZI YA SANAMU NA VISAKRAMENTI
2Fal
3:20-21
Hes.
21:8-9
Kut.
25:17-22
Kol.
1:20, 2:14
Yn.
12:32
Mt.
19:11-12
3) USAHIHI WA MAPOKEO YA KANISA KATOLIKI KAMA CHANZO
CHA IMANI
2 The
2:15
2 Kor.
10:10-11
Yn
21-25
2
Yoh. 1:12
3
Yoh. 1:13
4) KUABUDU JUMAPILI BADALA YA JUMAMOSI(SABATO)....
Hasa ni kwa sababu Yesu aliitukuza siku ya kwanza ya juma kwa ufufuko wake na
kwa kuwatokea wanafunzi wake siku hiyo.
Ufu
1:10
Mdo
20:7
Mt
28:1-8
Lk.
24:1-7
Lk.
24:13ff
1
Kor. 16:1-2
Yn.
20:1-22
5) MAMLAKA YA PAPA KAMA MFUASI AU MRITHI WA MT. PETRO
Yn.
21:15-17
Mt
16:18-19
W
2:1-14
6) MAPADRI KUITWA BABA WAKATI BABA NI MMOJA ALIYEKO
MBINGUNI
Mwa
17:4
Yer.
7:7
Hes. 12:14
Yn.
6:49
Mt
23:30
Lk.
1:73
7) JE BIBLIA INATAMBUA MUUNDO WA UONGOZI WA KANISA?
Efe.
4:11-13
1Tim
5:17-25
1Tim
3:1-7,8-18
8) JE BIBLIA INASEMAJE KUHUSU TOHARANI.
Isa
35:8, 52:1
Zek
13:1-2
1Kor 3:15
Lk
12:47-48, 58-59
Ufu
21:27
Ebr
12:22-23
Ayu
14:13-17
9) KUHUSU MATUMIZI YA UBANI
Kut
30:34-37
Hes
16:6-7
Law
16:12-13
Lk
1:10
Ufu
8:3
10) ROZARI IKO KATIKA BIBLIA?
Lk 1:28
Lk
1:42
11) JE KUTUMIA MAJI YA BARAKA NI MAPENZI YA MUNGU?
2Fal 2:19-22
Yn
5:1-18
Yn
7:37
Hes 19:1-22
12) KWANINI TUNAOMBA WATAKATIFU WATUOMBEE?
Mit 15:8, 15:29
Ayu
42:8
Yak 5:16
Mt
16:19
13)KWANINI TUNATUMIA MEDALI, MISALABA, SCAPURALI NA
MIFUPA YA WATAKATIFU?
2Fal 13:20-21
14) KWANINI TUNAUNGAMA DHAMBI ZETU KWA PADRI
Mt
16:19,1-20
Yak
5:15-16
15) UBATIZO WA WATOTO WACHANGA UKO KATIKA BIBLIA
Mdo
16:15-33
Mdo
18:8
Mt
28:19
Mdo
10:47-48
16) KUSIMIKWA KWA UTUME
Kut
28:4-43
17) RANGI ZA KANISA
Kut
27:9-29
18) MATUMIZI YA MISHUMAA
Kut
25:31-40; 27:20-21
Hes
8:1-4
19) MPAKO WA MAFUTA YA KRISMA
Kut
30:22-32
20) MPAKO WA MAFUTA YA WAGONJWA
Yak
5:14-15
*Hii ni kwa ajili ya wakatoliki wote wasiokua na
uhakika wa wao kuwa wakatoliki*
*~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~*
Mtumie na mkatoliki mwenzio ili tujijenge kiimani na
kiroho pia.
*Roho
wa Bwana awe nawe*
#Its *MDP*
BARIKIWA SANA
ReplyDeleteJe ninaweza kumuoa Binti ambaye mamangu ndo kamsimamia kwenye ubatizo?
ReplyDelete